Im here…wacha i download it.
poa.Ndio natoka club nitashindwa kufanya settings for now.wanna take kausingizi ya two hours hivi.but wenzangu nawaomba download ikileta shinda we sign in .user name ni kenyatalksound.password ni. safaricom7.sisi wote ni wadau Kwa kijiji .I.T gurus saidieni tafadhali
sawa changing for you
1 Like
wapi mixx ya hiphop na dancehall?!
done[ATTACH=full]8552[/ATTACH]
3 Likes
Thanks bro. Wacha hii itusukume weekend.
1 Like
iko sambaba. Am a big fan wa soul and its hard to find mix kama hii ya soul…#Big_up
Pewa kitu, wewe ni heavyweight!
usijali buda Hiyo ni leo leo.masaa ya late nite hivi.
1 Like
thanks and welcome.
hii iko BA asanta
1 Like
Wazi
Swadakta