These Women Never Fail to Impress

Kwanini nikigusa hii tachiskrini ya simu yangu na kitu kengine mbali na gumba langu haifanyi, lakini nikitumia jani la mogoka inafanya?. Inakuaje hivi?

3 Likes

I just love a lesbian hekaya, so they are both pregnant, who is the lucky bastard?

hii storyline uzia kingsley ogoro…

Hehe, si huko na ujinga mujamaa

1 Like

Oya braza niko siriasi. Hebu jaribu na ushale wa kiberiti alafu jaribu na jani la mogoka, nipe matokeo. Lakushangaza hata jani la bangi haifanyi.

2 Likes

https://www.youtube.com/watch?v=eYlJH81dSiw