Recent content by full of faith

 1. full of faith

  Baadhi ya Watu mna vituko mno na mawazo mgando

  Uongoz wa jf sio kwamba umekosa fedha za kukata leseni isipokuwa ktk sheria za TCRA zinawalazimisha viongoz wa majukwaa na n.k kuexpose details za members, sasa jiulize kama itakuwa hvyo unategemea kuna mtu atapona??!!
 2. full of faith

  Oyooo villegars wa tz

  Githeri huku tunaita "KANDE" Kuna KANDE la mahindi na dengu, choroko, maharage n.k. Vyote hivyo tunaita KANDE
 3. full of faith

  Oyooo villegars wa tz

  Aisee kumbe, sasa maneno ya kikuyu tutayawezea wap! Watumie lugha ya kiswahili
 4. full of faith

  Mods this is injustice, unfair and uncomfortable.

  https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/admins-napendekeza-kuwa-replies-zote-kutoka-threads-zinazofanana-kuwekwa-katika-thread-moja.79748/ Mkuu hiyo thread niliiweka kwa sehemu yao ya maoni badae nikaikuta huku kwetu bila ya kupewa hata taarifa. Surely nilikereka sana na hapa nafikiria...
 5. full of faith

  Dikteta na juhudi zake za kutufunga midomo Watanzania

  Mkuu kama nikirudishwa primary huo wimbo sitaimba kamwe
 6. full of faith

  Lengo la waasisi wa EAC linatimia..

  Hatukuja Kenyatalk kwa bahati nzuri bali ni kwa bahati mbaya lakin tunashukur kuwa sehemu yetu ya kujihifadhi kwa muda.
 7. full of faith

  Hebu taja kitu cha KIJINGA zaidi ambacho umeishawahi kukinunua kwa hela yako

  Hahahaha mkuu radha muhimu sio mtu unakunywa huku umekunja sura
 8. full of faith

  Admins napendekeza kuwa replies zote kutoka threads zinazofanana kuwekwa katika thread moja.

  wewe ni jinsia gani kama KE basi mwaka huu mwishoni nitaweka mpango wa kuja kukuposa :D:D:D:D:D

Top