Recent content by Fuso

 1. F

  Bashite apata mtoto wa kiume amwita Keagan Makonda

  Karibu duniani dogo keegan Bashite.
 2. F

  Cheka kiduchu

  Wasiwasi wa kufa jamaa kachomoka na school bag ya dogo.... ha ha ha
 3. F

  CR7 new Contract at Juve ni KUFURU

  Cristiano Ronaldo will earn £500,000-a-week at Juventus after signing a four-year contract. Kweli mwenye nacho huongezewa, hebu tukokote ni Tshs ngapi kwa mapene ya TZ. 1 Pound = 3,000 Approx Pound 500,000 = 1,500,000,000 Tshs kwa Wiki yaani 1.5 billion kwa wiki Mshahara wake kwa mwezi =...
 4. F

  Alichosema Da Mange leo!

  ni suala la kujiuiza tu atafanya kazi ipi? ni vizuri mkuu akamvumilia ili wastaafu pamoja.
 5. F

  CHURA!

  nafikiri kuna ukweli kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na baraka/ kudra za Mwenyezi Mungu; mnaweza kufanya same project; same categories same market strategies, same management skills lakini mwenzio akatoboa tena sana wewe ukabakia hapo hapo madeni kila kukicha. Mi nafikiri mafanikio ya mtu...
 6. F

  Joyce Wowowo wombs kibali cha kuwashughulikia wanaompinga jiiwe

  Ati Joyce wowowo.. ha ha ha unanikumbusha mbali sana miaka ya 90's
 7. F

  Mwigulu haruhusiwi kufanya mikutano jimboni mwake

  Dogo alijisahau saana; wacha na yeye aonje joto ya jiwe; na asipotulia na kujipendekeza nomination ya CCM 2020 lazima awe mchezaji wa akiba.
 8. F

  Nimemuona mtu akimendea cheo mahali

  Nyeti hadharani; upepo ushapiga
 9. F

  CCM Wameanza kulana wao kwa wao

  Kawachapa watoto wa jiwe; zakaria ni nouma.....
 10. F

  Nape anawahadaa Watanzania!

  Wapo kama 5 hivi; inadibi wapenyee labda kwa tiketi ya TLP 2020.
 11. F

  AG atuhumiwa kulidanganya Bunge, ashinikizwa kujiuzulu

  Hakuna wa kumgusa mteule wa Rais; kama yupo basi atakuwa hajipendi.
 12. F

  Huu ukimya wa jiwe vipi?

  Kimya kingi....
 13. F

  Nyuzi za kuichafua Jf zimezid, wa Tz tuwe na shukran, uvumilivu na subra

  Melo atabakia JF legend; sidhani kama kuna mwana JF atabeza mchango wake.
 14. F

  UHALISIA KUHUSU WEWE

  Kila mara naota nipo darasani ama wakati mwingine chuoni. Ndoto inanitaka nirudi shule elimu ya juu nimegoma; najua hiyo ndiyo root success yangu ilipo lakini sitaki kukaa darasani mimi; kifupi sitaki kusoma; let it be. Unaweza kujua root ya talent yako ilipo ila ukawa huipendi na ukaagukia...
 15. F

  Hukumu ya kesi ya billionaire Msuya

  Lah yule dada wa marehemu msuya aliuawa kinyama saana; haki itendeke lahh Kesi moja ina double killing..

Top