-
Please Help Freedom Information
si kwa ubaya maze,mandazi kwa folder sikuizi hakuna,saidia pliz
please boss hiyo link ya mandazi moto?
Aye buda, nisaidie iyo link ya gatheri
mblo si unisaidie na updated link ya mahamli tafasali..shukran
mandazi ilihamia wapi bratha?
fathe kupata izo gatheti reta tirections
inbox link ya wed na sato tafasari
psiphon kuseti... beer money iko..
Niaje buda. Niinbox directions za hyo kiosk ya mandazi
Mandazi nishakula, kuwa na siku njema
Hey niaje....si unipeleke kule tele....priiis
Kaa si doh maskio yangu haikaribishi udaku Unabiz ingine? Tembeza kiatu!
manze nani anajua stry na bundles mwitu...naumia jo
Niaje highschooler. Nadai usaidizi kiasi
Niaje bruh , hyo idea ya bundles mazee
-
Loading…
-
Loading…
-
Loading…