Sijasoma but one thing for sure Ralf ameexpose everything that is wrong with Utd football club inakuwa managed from only the business perspective iyo ingine itajipanga. Mess iko kwa iyo klabu si kidogo
FFP zilikuwa suspended, saa ii ni mfuko ya mwenye klabu inaongea. Hehe lakini Real walipigwa kwa game yao, saa ii nikurusha tantrums venye watafile lawsuit