Recent content by lady in action

 1. L

  Ndoa siyo group la whatsapp

  aaaah! Mi nikichoka tu naleft
 2. L

  Alichosema Da Mange leo!

  damange kasema
 3. L

  Ujambazi Mlimani City

  mil 10 tu kweli unaua mtu?
 4. L

  UHALISIA KUHUSU WEWE

  Ukiota upo darasan inamaana tofauti na unavyoitafsir... nikikumbuka vizur nitakuambia
 5. L

  Kwa wale tulioowa ni vyema kukumbushana

  Mbona nimeambiwa ratiba iko palepale?
 6. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Mzee mkulima anawanawake 3 anawatoto kalibia 35 jumla nawa nje wote wanategemea kilimo
 7. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Sasa ndio wanataka kuishi pamoja maana wamepatana mahari imagine jamaa anashindwa kutoa mil 1 anasubir mpaka akivuna shamban ndio apate mahari so ikishatoka tayari process zq kuishi pamoja zinaanza
 8. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Imagine baba ake jamaa anawanawake 3,,, hakuna mwenye uwezo hata mmoja kuna kaka yake yeye ni mwalim lkn hasaidii anafanya yake nae anaonekana anaroho mbaya kwenye ukoo.... jamaa ikifika dec awalimie mashamba,,,,January ada za shule anasomesha wadogo zake 4,,, bado ujenz kwa muda...
 9. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Inawezekana anaogopa ataonekana hapend ndugu wa mume
 10. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Kweli kuliko kujifanya anakubaliana nae huku moyoni anaumia
 11. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Wazazi wanashindwa kutengeneza maisha yao wanakuja kusumbua watoto mbelen we MTU hauna uwezo wanawake 3 wanini?
 12. L

  Anaomba ushauri kachanganyikiwa

  Iko hv kuna dogo anamchumba wake mwanaume anakaz nzuri kiasi ila ukoo mzima unamtegemea yeye uko kijijini baba ake anawake 3 ambapo asilimia 80% wanamtegemea jamaa kuanzia chakula kila kitu Sasa jamaa kumbe alimpenda bidada kwakumuona anaroho nzuri pia anakibiashara kidogo ambacho kinatosha...

Top