• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Recent content by Mfiaukweli

 1. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  Unapoteza haki ya kumuita mtu kuwa yeye ni mpumbavu kama wewe mwenyewe unafanya upumbavu.
 2. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  Nani huwa anatoa siri zake hadharani?
 3. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  Viongozi (magufool or anybody else) hawatasaidia (si Kenya tu bali kwa Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, South Sudan na hata DRC). Kitakachotusaidia ni business community.
 4. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  Karibu tena kutukana. Hiyo uliyofanya haitoshi. Kila mtu Kenya ni "birrionaire"? Hata Bill Gates (na ni billionaire na si "birrionaire") hajaacha ku-invest. Na investments zake zipo hadi South Sudan na DRC ambako si kila mtu ni "birrionaire".
 5. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  Most likely. But if you have invested elsewhere then you did consider those facts. But you still did go ahead and invest (albeit after doing due diligence), am I right? If you take my words for it without doing due diligence and in the process you get swindled would you blame me? Au banks...
 6. Mfiaukweli

  Bubble ishatoboka, mnakuliwa njaro mugongwe kabisaa

  Naomba nikujibu kwa Kiswahili "chenyu": Si ukuje ujionee? Be my guest. And am clean as a whistle
 7. Mfiaukweli

  Am a Tanzanian and why I believe in EAC..

  ...guys, I studied at KSMS sometime back. Na naomba niwe honest, nimeshaibiwa na Wakenya. But at least they taught me a lesson that am willing to take. Whatever you may believe about us (afterall mnaambizana kuwa tumelala - and you are mostly justified in saying that), some of us have been...
 8. Mfiaukweli

  For any Kenyan who really needs to invest in TZ....

  Guys; this is not a trick or anything. Just bring in your technical expertise and will handle the financial side. Come on someone.
 9. Mfiaukweli

  UFISADI MANISPAA UBUNGO

  Duh..!
 10. Mfiaukweli

  Bubble ishatoboka, mnakuliwa njaro mugongwe kabisaa

  Kuja invest Tz jamaa. Hata saa mbovu huwa inaonyesha right time at least twice a day.
 11. Mfiaukweli

  For any Kenyan who really needs to invest in TZ....

  Biblia imeandika "mtu huyawaza yaujazayo moyo wake".
 12. Mfiaukweli

  For any Kenyan who really needs to invest in TZ....

  Poultry business
 13. Mfiaukweli

  For any Kenyan who really needs to invest in TZ....

  Any investor have to take into account of tapelis". But they would reasonably do some checks before committing anything. Najua kuna Wakenya mmepigwa lakini haina maana kila mtu anataka kuwapiga. Kupiga ni short-term outlook, na kwa mazingira ya Magufuli (incidentally Wakenya mnamshangilia for...
 14. Mfiaukweli

  For any Kenyan who really needs to invest in TZ....

  ...please read here. I have to anonymously introduce myself (I know it sounds stupid as any sane person inviting an investor wouldn't do that because it is so stupid to do it), but nevertheless anyone who really seeks to invest this side equally needs to consider what am proposing. But I believe...
 15. Mfiaukweli

  aahhh? Wasiojulikana

  Sidhani kuwa hiyo sinema itaisha hivi karibuni especially chini ya jiwe.

Top