Recent content by Mwanampotevu

 1. M

  Uno la Harmonize

  Check hapa
 2. M

  Natural hair compitition, saidia dada yetu ashinde! Click link weka like yako!!

  Majibu hayo toka kwa muhusika. Mimi nimempazia sauti ti.
 3. M

  Natural hair compitition, saidia dada yetu ashinde! Click link weka like yako!!

  Tumsaidie huyu dada nimekuta ombi lake whatsapp. Tafadhali click link hii hapa chini itakupeleka kwenye Insta yake na utalike hiyo picha. Ambayo inashiriki mashindano fulani hivi utaona. Cha muhimu ni Like yako. Tafadhali tumsaidie jamani.
 4. M

  Mawe yaporomoka mlima Kitonga, bara bara yajifunga..

  Mawe yameporomoka mlima kitonga kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini na kusababisha usafiri kuwa mgumu maeneno hayo Chanzo: East Africa TV
 5. M

  DC Muro kufanya mapinduzi makubwa ya Kilimo Arumeru.

  Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu. Jerry Cornel Muro ameweka DHAMIRA yake ya kimkakati ya kubadilisha sekta ya KILIMO kutoka kilimo cha kutegea MSIMU na badala yake sasa Wilaya ya Arumeru itakuwa na kilimo cha moja kwa moja ambacho amekipa jina la OTESHA KISHA VUNA HALAFU OTESHA TENA . Dc Muro...
 6. M

  Boing, kunani Boing mwaka huu??

  Boeing nyingine yapata hitilafu angani, yalazimika kutua ghafla Ndege aina ya Boeing 787-900 ya Shirika la United Airlines leo Jumatatu imelazimika kutua katika kisiwa kilicho Bahari ya Pasific cha New Caledonia baada ya taarifa kuwa kulikuwa na moshi unatoka kutoka chumba cha rubani, ofisa...
 7. M

  Katibu mwenezi wa Ccm afanya dhihaka ktk mambo ya msingi, aleta siasa ktk ushindi wa Stars

  Hay ndio mambo yanakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo Tz, huku ni kuwagawa watu
 8. M

  Njooni tuondoshe tandabui..

  Wakuu diasporas wa Jf wote, hebu jitokezeni kidogo tuondoshe vumbi na tandabui hapa jamvini kwetu, wenyeji walitukarimu vizuri wakati ule wa matatizo sasa sio vizuri kuutupa huu uwanja isije siku nyingine tukaona aibu kuja kubisha hodi huku pindi yakijitokeza tena matatizo kama yale ya awali na...
 9. M

  Hacking

  Wapi, lini, nani, vipi, kwanini? Jazia nyama bandiko lako kwa kuzingatia majibu ya maswali hayo hapo mkuu ili kuipa uhalali taatifa yako hii bila kusahau chanzo ya kuaminika...
 10. M

  Rais JP Magufuri, aipongeza Taifa stars

  Rais wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuri ameipongeza timu ya taifa, Taifa Stars kufuatia ushindi mnono iliyoupata wa magoli 3 kwa bila dhidi ya Uganda the cranes ktk michezo ya kuwania kufuzu fainali AFCON 2019. Rais amefurahishwa na jinsi timu hiyo ilivyocheza vizuri na hatimaye...

Top