Recent content by shingo upande

 1. shingo upande

  Mr Diamond aka so many handles come battle me hia

  Naomba utoe ile funkshen ya "ignore" . Kuna pink handol kiherehere flani ningependa kuendelea kumrushia mtama na ameni mbuloki. Asante.
 2. shingo upande

  Ktalk member of the year - UWESMAKE

  Ebu ni unbulock nieendelee kurusha mtama....
 3. shingo upande

  Flying Horse

  Hiyo drink though ina taste kama mafuta taa ni safsana,cheap na haina hangover. Nilikuwa naikunywa hapo gachie kwa soko bar ingine inaitwa kanduma which ironicaly was very dark inside na imejaa mugich kibao.
 4. shingo upande

  BYE KTALK...THE ARBITER IS ON A SABBATICAL BREAK

  Phew! Wah! Kila time me u reload browser yangu ,circuit breaker ya buloti hudunda . Pls come back after ni upgrade simu na residence.
 5. shingo upande

  forget cyprian

  Inbox madam mboss!
 6. shingo upande

  Opium of the masses, ujinga niki pawa etc...

  @admean dada ,HATE SPEECH!
 7. shingo upande

  Somebody Explain This to Me Like I Am a Six-Year Old............

  Raila just wants to be arrested,alafu wafuasi na maadui wake waanze tibim tialala. Mediators waje,mazungmuzo ya amaani ianze ,mwishowe boflo vidaividiwanga. Plan may work but lot's of lives wil be lost.
 8. shingo upande

  Protesting MP v Protesting Citizen

  LANES my friends LANES! Huyo mujamaa ume menshen hapo juu ni honourable memba . My little nolej in law tells me it's criminal ofense kutaja jina yao bila kitangulishi "Honourable so and so"cc@dingo wa ingo Wadau opera mini nasumbua ku tag muchamaa.
 9. shingo upande

  Mr Do-It-All Nick Mwandwa

  How I wish naeza mmpata kwa cycle zangu za ulevi,naeza pea hio ng'ombe pombe iwike yake yote .
 10. shingo upande

  Landover freelander

  Fixed!
 11. shingo upande

  Kama wewe ni mwanaume na unafanya haya mambo... change your name to Shaniqua

  Mwanaume halis ni yule ana vaa whatever is available in his wardrope/sanduk/kabat .mambo ya matching socks ,suits and ties wachia ma sociolite news anchors. Clash colours kama mkamba kwani iko nini
 12. shingo upande

  MaNV's wanacome

  Kabla baba a withdraw from pors

Top