Recent content by VillageElder

 1. V

  Uganda hali si nzuri

  kumbe huku mambo bado yako moto?
 2. V

  Wanaume wa mara hatutekwi kizembe. (Picha)

  ila sura na kichwa kinaonekana kimebeba mambo mengi mazito ya kihistori aliyo wahi kufanya na kupitia. naomba niishie hapo
 3. V

  Rais mdogo zaidi duniani aliyeishia kunywa 'mataputapu’

  nimwona hiyo picha nikamkumbuka @Tatum wa jf aisee huyo jamaa nadhan anajuta sana maishani mwake na kama hana majuto yoyote basi atakuwa na moyo mkuu
 4. V

  CCM Wameanza kulana wao kwa wao

  full loaded aisee! bastola mbili? hakuna aliyetegenea
 5. V

  SIRI YA MNANGAGWA KUTEMBELEA TANZANIA.

  walinzi unaozunvumzia ni wale waliokua wameshika silaha au wale waliokuwa karibu na raisi? tuanzie hapo kwaza huwenda tunamaanisha wa wili tofauti
 6. V

  Waislamu na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

  ila hawapigani wao kwa wao
 7. V

  Waislamu na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

  tamaa zao na kusalitiana ndio vinawaangamiza
 8. V

  Uliza chochote kuhusu 'Aqidah' ktk uislamu..!!!

  kwa sababu nguruwe kwa mujibu wa imani yenu ni haramu( kwasabb imetajwa wazi) je matendo kama kuchoma udi na kuamsha majini kwa kutumia maandiko yanayo endana na imani yenu si haramu? kwa sababu sigara haikutajwa waziwazi kuwa haram na wapo maustaadh na viongozi wengine wa imani yenu wanatumia...
 9. V

  Uliza chochote kuhusu 'Aqidah' ktk uislamu..!!!

  kitu gani kitafanyika siku ya kiama na baada ya hapo kwa mujibu wa imani yenu ni *** kitaendelea?
 10. V

  kombe la dunia... kwanini kamera zinawazoom mabinti wazuri tu

  wananishinda kwenhe shepu za miguu yao imejazia kihasara hasara
 11. V

  Belgium kukutana na Brazil/Mexico Robo fainali? Akikutana na Brazil, ipi itashinda?

  fainali ni Russia vs Japan ile bangi bado haijaisha kichwani usiku mwema
 12. V

  Je naweza kujua kama siyo kufahamishwa Mafunzo ya Walinzi wa Marais duniani huwa yanakuwaje?

  pamoja na mafunzo wanayopata nje ya nchi wana jengo lao pembeni kidogo ya mji ambako upepo mwanana huvuma na huko ndiko wanako kazia(baada ya kupata yake basic ndani na nje ya nchi) mafunzo yao
 13. V

  Je naweza kujua kama siyo kufahamishwa Mafunzo ya Walinzi wa Marais duniani huwa yanakuwaje?

  hahahah anakuchokonoa? samahani kwa kutumia kiswahili ambacho kinaweza kutafsrika vibaya.
 14. V

  Itakugharimu ukifanya au usipofanya

  ndio maana niliimisi jamii forums. nanukuu kwa kutilia mkazo kilicho andikwa hapo juu "..CEO huyo lilikua, 'ni nini siri ya mafanikio yako'?, CEO alijibu simple tu, kwamba, 'Good Decision/Maamuzi sahihi'. Yule jamaa akamuuliza tena, unafanyaje maamuzi sahihi, CEO alijibu, 'through...

Top