Search results

  1. F

    Nchi maskini kama tz,ke,ug n.k zinaweza kujitegemea bila kuomba misaada wazungu? Jibu ni No!!

    Changamoto iliyopo kwenye nchi nyingi za kimaskini ni kuwa na kitu kinachofahamika kama "budget deficit" karibia kila mwaka, hii inatokana na kuwa na matumizi mengi kuliko uwezo wa nchi wa kuzalisha mapato. Fikiria kwa mfano malipo ya mishahara ya walimu nchi nzima, manesi na watumishi wote wa...
  2. F

    Mwanaume pendeza na style hizi

    Achana na suruali za kitambaa ni za kizee pale ofisini ulipoajiriwa kuvaa sana Jens utaonekana muhuni kwa mabosi wako. Pendeza kwa kutupia suruali Kali za kadeti mashati ya vifungo uliyopunguza kulingana na umbo lako yasiwe yanakupwaya. Chini tupia boot Kali yenye urefu wa kuja juu chini ya...

Top