• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Search results

  1. Gidheli

    Hiki kizazi kina shida mahala..

    Hiki kizazi kina shida mahala vile mademu wako desperate na kuolewa sijui tatizo nini, Yaani kama hujaitwa mume basi jua hujatongoza demu hivi karibuni.. Unatongoza asubuhi halafu kidogokidogo hivi jioni ikifika anakutext, "Umekula mume wangu".
  2. Gidheli

    Ukisikia kauli hii ugenini huwa unajisikiaje.?

    Habari zenu wakuu? Kuna hii kauli upo ugenini halafu unasikia wenyeji kuna kitu hawakioni halafu wanasema kauli hizi "Humu ndani hakijawai potea kitu" au "Hapa kwetu hakujawai ibiwa chochote" halafu mkuu wewe ndio una siku tatu tu na mgeni ni peke yako. Imeshawai kukutokea hii na ulijisikiaje?

Top