• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Search results

 1. G

  Nataka kubadili username

  Admin naomba nibadili jina "username" nataka nitumie jina la "Gamba",hivyo naomba mnibadilishie,natanguliza shukrani zangu
 2. G

  Nimemuona mtu akimendea cheo mahali

  Leo kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha mzee Reginald Mengi nimemuona Lembeli yule aliyejirudisha CCM huku ikisemekana baadhi ya wanachama hawamtaki yupo karibu kabisa na Jiwe ikumbukwe huyu Lembeli uwa pia anajipendekeza sana kwa Mzee Mengi sasa kwa kuwa hii hafla ni ya mzee Mengi basi naona...
 3. G

  Na Mimi nimeamua kutua Kenya

  Wakuu salam, kama mjuavyo kwa sasa nchi yetu pendwa Bongo haikaliki hivyo kila mtu anatafuta pa kwenda wengine wanataka kwenda Zimbabwe, wengine wapi sijui huko ila mimi nimechagua kutua kwa mzee Kenyatta hivyo nawaomba mliotangalia mnipokee

Top