Yaani ukweli kabisa JF ya bongo pamoja na mapungufu hayo na pia hayo makubaliano yao na serikali pia yanatia shaka binafsi sina mpango kurudi kama mchangiaji nitakuwa msomaji tu.
Leo kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha mzee Reginald Mengi nimemuona Lembeli yule aliyejirudisha CCM huku ikisemekana baadhi ya wanachama hawamtaki yupo karibu kabisa na Jiwe ikumbukwe huyu Lembeli uwa pia anajipendekeza sana kwa Mzee Mengi sasa kwa kuwa hii hafla ni ya mzee Mengi basi naona...