...guys, I studied at KSMS sometime back. Na naomba niwe honest, nimeshaibiwa na Wakenya. But at least they taught me a lesson that am willing to take. Whatever you may believe about us (afterall mnaambizana kuwa tumelala - and you are mostly justified in saying that), some of us have been...
...please read here. I have to anonymously introduce myself (I know it sounds stupid as any sane person inviting an investor wouldn't do that because it is so stupid to do it), but nevertheless anyone who really seeks to invest this side equally needs to consider what am proposing. But I believe...
.....ukitaka kujua ukweli huu angalia aina na idadi ya watu watakaotoa rambirambi. Kama huwa unapitia huku fikiria kwa makini ujumbe huu. Ikitokea ukafikwa na jambo baya (na siombei ukutwe) watakaoshangilia wataluwa ni wengi kuliko watakaosikitika.
Kwenye kitabu "Cry Beloved Country" cha Alan...
....sisi (hivi hivi tukiwa mmoja mmoja) tunaweza kufanya nini? Please let's brain storm.
Ni kwa nini nimefikia kuwaza hivi? Ni kwa kuwa mawazo tunayoyatoa hapa hayawezi kufanyiwa kazi kwa kuwa SIAMINI hao waliopewa responsibilities (na ndio hao tunaowaeleza tunayowaeleza) wana uwezo wa kuelewa...
Jameni; nimemsikia naibu waziri wa maliasili na utalii akijitapa kuwa duniani ni Tanzania pekee ndio hutoa fidia na "kifuta jasho" pale kunapotokea uharibifu wa mazao, mali nyingine na vifo kwa sababu ya wanyama pori.
Seriously! Kweli ccm mnajidanganya; zama hizi kweli mnapata ujasiri wa...
Embrace criticism
Don't rely too much on the opinions of your friends (especially those friends who shower you with praises); remember they know you and more importantly, they KNOW exactly what you like to hear. So they are likely to use you.
Golden rule: we protect our countries from our...
....Nigeria wameamua kulifufua shirika lao la ndege (lilifilisika miaka 14 iliyopita). Jisomee hapa uone watu wanavyo:
Identify risks
Factor-in the reality in business management
Put in a structure to mitigate the identified risks...
Kama hujui basi ni hii:
You are hopelessly incompetent in managing the economy (kitu ambacho Makaburu wali-excel). Ila ukatili kwa wapinzani hamna tofauti hata kidogo.
Nashindwa kuelewa unapopata ujasiri wa kumsifia Mandela au ANC. Well; probably hujui unalosema. Ulituambia nani alikuwa Rais wa...
Korean Air walikuwa na utaratibu wa kuajiri retired senior military officers kuwa pilots wa shirika lao la ndege. Ukichanganya na tabia ya wanajeshi kuzoea kutoa amri na mila ya Wakorea ya kulazimishwa "kutii wakubwa", junior pilots/flight enginners hawakutarajiwa kutoa maoni kinzani na ya...
.....naomba mtu alieona (au kusikia) taarifa ya habari ya ITV leo hii jioni anithibitishie hiki nilichokiona leo kuwa ni kweli NIMEKIONA NA KUKISIKIA.
Waziri wa ujenzi na uchukuzi Issack Kamwelwe (naona aibu kumuita Engineer kama anavyopenda aitwe - na jinsi wengine humuita) ametoa amri kwa...
....kama kweli unataka idadi ya watalii iongezeke kwa kivutio cha usafiri wa anga basi achana na biashara ya kununua ndege ambazo huna uwezo wa kuendesha biashara yeyote yenye faida (and I dare say hutakaa uwe na uwezo huo based on your demonstrated attitude) bali promote usafiri wa anga kwa...
....in a way ulipaswa kuyategemea yanayokutokea sasa. And I don't mean kupoteza cheo - Kitwanga hata nae aliondolewa kwenye nafasi uliyokuwa nayo hadi majuzi lakini tofauti na wewe yeye hatukanwi kama unavyotukanwa wewe. Sikuwahi kuona watu wakishangilia mtu kutolewa madarakani kama...
...jameni; hii mambo ya kuwa na multiple partners kuna madhara physically and spiritually. Kama huniamini anza kufanya research (kwako kama unahusika) au kwa wale unaowafahamu.
Nimekaa hapa niIlipo kuna mtu (kalewa) analalamika shida fulani. Sikuwa na-pay attention maana nina hamsini zangu...
.... serikali ya ccm inawanyima vibali vya ukaazi wageni wanaotaka kufanya biashara nchini kwa kigezo cha kufikia umri wa kustaafu. Eti ukifikia au kuzidi umri wa miaka 60 hawatoi kibali!!!
Kumbuka huyu ni mtu alieamua kuanzisha biashara yake Tanzania, kwa fedha zake, risk ya kupata hasara ni...