Jirani wangu ocha,anatupa mefi ya ngombe through the fence hadi kwangu.After lockdown nilikuta boma yote inanuka kaa shit. Jamaa ni mtu wa church, ni mjeuri na watoi wake wako connected mbaya.
Hii weekend naenda huko na boys kadhaa all dressed in black, carrying black pots.tutachinja kuku...