Wadau jana nilimwaga chai nusu kikombe kwa laptop ikazima tu hivo nikajua baas, budget ya krismass imeharibika. Nikaitoanisha polepole nikapata motherboard inaenjoy chai huko ndani sawasawa. Nikaiwipe,na keyboard na kila kitu nikaweka separate, nikaziweka zikalala kwa mchele.
Asubuhi kuaruka...