Unarelocate lokeshen mpya unakuwa friends na njirani a fellow bachelor, then unaanza shughuli za kutupa mtama kwa local gels, only to find that plot yenu imekuwa marked na NCA, KeNHA, NEMA, KPLC, DCI, etc as a no go zone since jirani yako amepita nao wote. Inabidi uanze kuimport ama uende next...