Search results

 1. jumabekavu

  @adminstrator

  @administrator hebu changamsha kijiji kama jana. Weka kitu hapa tuanze mjadala. Siku nyingi sana thread imefika kurasa kumi na nane hapa. Ama fungua hiyo thread tuendelee mahali tuliachia. Natumai kufikia sasa umejifunza tofauti ya YOUR na YOU'RE. Chawucha sana Mghosi, Mlungu ukiwike kula wukelu.
 2. jumabekavu

  FORZA JUVE!!

  Leo tukitolewa @123tokambio Count one to three na utoke unyoya. Usiniambukize stress zenyu my fren
 3. jumabekavu

  PEV

  Kuna watu wamekazana kitanuka this time round, tatizo ni hakuna mwenye anataja wale wataleta fujo. People are creating tension nyengine hata inasinya. My grandma and her sisters are calling me ati Msa watu wanapigana niende Taita, mimi nabaki kushangaa. Kitu ni hivi, wewe rauka kwenda pigia...
 4. jumabekavu

  This Young Man Called Jesse Royal

  @wildfrank skiza hiyo bezline @Nattydread any judas you know?
 5. jumabekavu

  BAADA YA SIASA

 6. jumabekavu

  Meria siku hizi uko na mchezo

  WAPI TBT!!?
 7. jumabekavu

  World War tatu endelevu. cc lejo introvert

  @introvert pewa hiyo. Na bado niko na ubaya na wewe
 8. jumabekavu

  Nelson Marwa

  Ati amepigwa transfer. @Meria Mata confirm this na kesho ulete TBT. Tusikosane tafadhali
 9. jumabekavu

  Mazda Carol

  Leo maadam sitoi tiba, nimeamua kuenda Nairobi kutembelea kina luther, na ule jamaa wao amenyolewa kipara. The Beast Mazda Sleeper Bespoke Carol, aka Duma wa Lami, anakanyaga hizo kilometer zote mpaka Nairobi. @introvert nikimalizana na kina luther naja kwako kuna issue mingi sana tunafaa...
 10. jumabekavu

  RWNBP na UOTP

  Baada mshatukanana sana kuhusu hizi vitu mbili. Kaeni chini mtuluze adrenaline this beautiful Sunday. @introvert ndio hiyo
 11. jumabekavu

  Beres 'kuchi' Hammond

  Baada mshatukanana sana juu ya RWNBP, UOTP, NASA, Jubilee, Joho, El Ade attack..... Sasa chukueni viti mtulie msikize hii
 12. jumabekavu

  Damian Marley

  This guy has mad stage entrance
 13. jumabekavu

  LUTAN FYAH

  Nishamaliza kutibu wagonjwa sasa niko Hadassah natuliza
 14. jumabekavu

  Peter Tosh. My Favorite Wailer

  Sisemi mengi
 15. jumabekavu

  HII Hata Uchawi Haitasaidia

  My friends wife is hitting on me. Nimekataa story yake. Nimefanya kila kitu in the books to avoid her, including kuhama mtaa(we are also neighbours) Swali langu kwenyu ni. Should I tell my friend? She's has now changed her approach from; having a relationship to nitombe mara moja tu...
 16. jumabekavu

  Nimefika Simbawanga. Salamu Kwa Masela.

  Hii imwendee @admin, Usijikali kakabraza, Tutachangia kijiji Kwa tajiri maskini wote @uwesmake waambie wenzio Kwa masista du wote malioness @Supu don fikisha salamu. @Meria Mata @Luther12 @mabenda4 @Algernon @blu na wengine kibao nyi nyi nyi ndio machizi wangu @Preety

Top