Kama Pope ndo nilimuona free of charge hadi akatuombea free of charge, tukaona Obama free of charge, Letanyau free of charge, Chris Brown ndo nani?!!. Hiyo 50k unanunua Smart TV 32" uweke kwa room, ueke bash, ununue meza na kiti ukae ka umeekelea miguu kwa meza na remote kwa mkono, uone show ya...