Search results

 1. BenKaile

  Notice To Members

  Wengi tunavaa barakoa na kunawa mikono ili kujilinda, ila kuna faida ya Kimungu kwenye hili, vaa barakoa, nawa mikono, epuka misongamano ili uwalinde wenzio na maambukizi utakuwa umetoa swadaka kubwa ya kulinda afya za wenzako. Tuwalinde wenzetu ili nasi tuwe salama.
 2. BenKaile

  Huwezi kuchelewa wala kuwahi ikiwa haujui unakoenda.

  Huwezi kuchelewa wala kuwahi ikiwa haujui unakoenda.
 3. BenKaile

  Busara XXX

  Ugopa sana mtu mwenye njaa, muogope zaidi mtu mwenye njaa ya mfukoni na njaa ya akili. NDIO, kuna watu wana njaa ya akili. Hawaaminiki hawa watu hata siku moja akishiba ni tatizo na akiwa na njaa ni tatizo huyu kinachosumbua ni kichwani. Mtambue tu halafu kaa naye mbali.
 4. BenKaile

  Busara Za..

  Kwenye maisha ya sasa, usiruhusu mafanikio yako yakajadiliwa kwenye mitandao, ni rahisi kukuchimba wakajua mapungufu yako na ndiyo ikawa mwanzo wa anguko lako. Kwenye mafanikio yoyote kuna mapungufu na makosa yake. Yakiibuliwa umekwisha, jitahidi sana wasifike huko.
 5. BenKaile

  Kwenye maisha ya sasa, usiruhusu mafanikio yako yakajadiliwa kwenye mitandao, ni rahisi...

  Kwenye maisha ya sasa, usiruhusu mafanikio yako yakajadiliwa kwenye mitandao, ni rahisi kukuchimba wakajua mapungufu yako na ndiyo ikawa mwanzo wa anguko lako. Kwenye mafanikio yoyote kuna mapungufu na makosa yake. Yakiibuliwa umekwisha, jitahidi sana wasifike huko.
 6. BenKaile

  Kwenye maisha kuna mambo hayaulizwi wala hayaombwi, bali mfumo wa maisha utakaoishi yatakupa...

  Kwenye maisha kuna mambo hayaulizwi wala hayaombwi, bali mfumo wa maisha utakaoishi yatakupa majibu ya ulichotamani kuuliza ambacho hujauliza lakini majibu utapata bila ya kuuliza na utapata kikubwa kuliko ulichotamani kuomba bila ya kuomba.
 7. BenKaile

  Uchafu unaoingia na kutoka baharini hauwazuii watu kuacha kuogelea.

  Uchafu unaoingia na kutoka baharini hauwazuii watu kuacha kuogelea.
 8. BenKaile

  Vijana tukipata madaraka au vyeo, jikumbushe maneno haya. "Mimi si bora kama ninao waongoza...

  Vijana tukipata madaraka au vyeo, jikumbushe maneno haya. "Mimi si bora kama ninao waongoza, mimi nina madhaifu yangu sawa na wengine, mimi si mjuzi zaidi ya ninao waongoza na mimi si mkamilifu kama aliyetuumba."
 9. BenKaile

  Psalms 20:13 & Matthew 7:8

  Psalms 20:13 & Matthew 7:8

Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Top