Search results

 1. Mr. Shark

  Mods Tunaomba JUKWAA LA WAKUBWA......!!!!!!!!

  Za asubuhi jamani, Niwashukuru mods wa KT kwa kuamua kutusitiri huku ugenini wakati tunasubiri hatima ya kwetu nyumbani. Sasa basi nimepitia majukwaa yote kuna Jukwaa naona kama limesahaulika, lile tunalokutanaga "Wakubwa" na kuanza kupeana vitu fulani hivi amazing. Kule kwetu ilikua Jukwaa...
 2. Mr. Shark

  Msaada, Jinsi ya Ku - "Rotate" Saved Video

  Wakuu kwema? Kuna Video nilimuomba mtu akanirejodie kwenye tukio moja hivi, but aliweka simu Upande. So hata Nilivyozihamishia kwa Laptop zimetokea zikiwa zimelalia upande mmoja. Now nataka nizi-rotate ili zikae wima, hapa nafanyaje wakuu?? Ingekua ni Picha za Mnato najua ni rahisi tu, just...
 3. Mr. Shark

  Simba S. C. Yawasajili Meddie Kagere, Serges Pascal Wawa na Deogratius Munishi (Dida)

  Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salam imefanikiwa kumsajili mshambuliaji raia wa Rwanda, Meddie Kagere kutoka Gor Mahia ya nchini Kenya. Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake na Gor Mahia unatarajia kumalizika Juni 30 mwaka huu, amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru na anatarajia kuonekana...
 4. Mr. Shark

  Fixed Correct Scores

  How are you Guys?? Nimekua nikisikia about issue of Fixed Correct Scores, is this issue real available in the world of soccer?? Can Teams real sit down and discussing what results will be and it truly happen then?? Aren't they afraid of FIFA to Ban their Clubs? If yes, how can this network...

Top