Search results

 1. Stewie

  Vyombo vya mitumba.

  Hivi vyombo vya mitumba viko poa sana kuliko hata hivi vyombo vya madukani. Mi ni mnywaji, kuna kipindi nilinunua viglass vya wine vya dukani. vilikuwa vyepesi, hata havina mzuka na vikaishia kupasuka. Nikanunua glass za mtumba. hadi leo zina kama 2 yrs. halafu ni nzito kiasi ukiishika...
 2. Stewie

  Ni nini hasa kimetokea kwenye sakata la Korosho?

  Nasikia tu wananchi wameporwa 200bln na kupewa 10bln. Ni nini hasa kimetokea hadi imekuwa hivyo? ni pesa gani zimeporwa na kwaajili ya nini? zamani kwani ilikuwaje?. naomba kuelimishwa.
 3. Stewie

  Jinsi ya kukaanga kitimoto.

  Twende moja kwa moja. Tenga kitimoto yako na maji na tia chumvi, wacha ichemke hadi maji yaishe. maji yakiisha anza kuigeuza geuza ili isigande kwenye sufuria. unaweza weka pilipili kwenye stage hii. endelea kugeuza mafuta yatatoka kwenye mafuta yake(stake tupu haifai). Geuza hadi iwe ya...
 4. Stewie

  Wakenya tunaomba mtujuze faida na hasara za county system.

  Ndugu wakenya tunaomba kujua ni faida gani mmepata toka muanze kutumia county system, na hasara gani mmepata. Je mfumo huu ni bora kuliko ule wa zamani? Mnajua nchi yetu ni kubwa na iko highly centralized kitu kinachofanya iendeshwe bila ufanisi. Mnaweza kutusaidia katika hili.
 5. Stewie

  Nasikia mtandao wa JF ulikuwa hacked na Serikali.

  nilikuwa nasoma page ya JF wikipedia. Wanasema JF ilikuwa hacked na serikali hadi google waliushusha kwenye ranks zao. Kumbe hata pindi zile hatukuwa salama. Hivi Uongozi haukuwa na wajibu kutujulisha hilo suala?
 6. Stewie

  Bongo Movies zinafanya watanzania tuonekane wapumbavu.

  Kwa kweli hizi dialogues za kwenye Bongo Movies ni za kijinga kupita kiasi. Leo nip0 safarini wameweka Movie ya Kigosi. Kigosi anajiita shedrack na amempenda binti anaitwa Tresha. Basi Kigosi humo anaongea utumbo Tena kwa kupayuka hatari. kama alitaka ile iwe movie ya Vichekesho amefeli vibaya...
 7. Stewie

  Sakata la kupima Samaki Urefu limeonyesha wabunge wapo kwaajili ya matumbo yao na maslahi yao.

  Hawa walfi hawana maana kabisa. Mambo ya watu kusumbuliwa kuhusu ukubwa wa samaki hayajaanza leo. Watu wamesumbuliwa kwenye kwenye magari na kupigwa faini za hatari wabunge karibu wote walikaa kimya. Leo hii wabunge wote wamechafukwa huko. Lingine linalalamika eti limechukuliwa picha linakula...
 8. Stewie

  Series za Comedy.

  Habari wakuu. hivi Karibuni nimetokea kuwa mpenzi wa series za Comedy. Nimecheki The office(USA) na kuimaliza. Sasa naangalia Unbreakable kimmy schimidt na Silicon Valley. Kama nawewe ni mpenzi wa Series za vichekesho tushirikishane zile nzurinzuri. Madam @Sky Eclat hauchekigi hizi series?
 9. Stewie

  Trevor Noah vs Trump.

  "Wakuu mumeona vile Trevor Noah ana muharass D.Trump kwa Tivii?":D. Kwa mbongo ambaye nina uhuru kidogo wa kujieleza sometimes huwa nahisi kavuka mipaka, lakini ukweli uhuru wa kujieleza unatakiwa ufike huko. Nilikuwa naona pia jinsi anamnanga Jacob Zuma. kumbe South nao wako mbali sana kwenye...
 10. Stewie

  Ni mambo gani mazuri hukujia ikiwaza au ukisikia Kenya?

  Kwanza nitoe shukrani kwa majirani zetu kwa kutusitiri. Nafurahi pia kujifunza mambo mapya maana nimeshaanza kuongea na sheng:D Ni ishu gani nzuri hukujia unaposikia kuhusu Kenya na wakenya?. Mi nikisikia Kenya nawaza kuhusu twist, Lupita Nyongo, katiba yao mpya iliyoleta county system siku...

Top