Search results

 1. K

  Kenyans, is this true?

  It is now trending that Kenya Airways has suspended its direct flight to the US! Is this true?
 2. K

  Makundi ya hovyo Tanzania

  Haya ndiyo makundi ya hovyo ambayo yana habari nini kinaendelea Tanzania lakini yametawaliwa na unafiki, mawakala wa shetani 1. Maaskofu (baadhi) 2. Mashekh (baadhi) 3. Maprofesa.(baadhi) 4. CCM
 3. K

  Walisitisha uokoaji eti giza! Zamu yao inakuja

  Kwa vile hakuna anayewahusu, hawasafiri na "upuuzi" wa sisi wanyonge, wakasitiza uokoaji wakati watu wanagonga kuta za kivuko wakiomba msaada, eti giza. Mnaondoka watu wanasikika wakilia kuomba msaada, mnaondoka na V8 hao Mwanza Hotel... Ngoja yanayowahsu wanayoyasafiria yashuke! Siombi sala...
 4. K

  Ni kweli Chato inajengwa stadium ?

  Nimeona mahali kuwa Chato inajengwa stadium , habari hii ni kweli? Kama kweli tunakwenda kubaya! Yale yale ya Mobutu!
 5. K

  Maaskofu mliokutana na Jiwe, mmemuuliza habari za Lisu? au nayi ndio wale wale!

  Mmemuuliza yanayoendelea nchini KISIASA KICHUMI NA KIJAMII au mmeimba mapambio vile vile? Mlikuwa na ageNda za kweli au mnalinda misalaba yenu shingoni?
 6. K

  Hivi Jiwe akipelekwa ICC ataweka advocates?

  Nasema hivi kwa sababu hataki kuwasikia na akathubutu kupiga mabomu ofisi zao.
 7. K

  Jokate ndiye nani na ana mahusiano gani na wakubwa?

  Kapewa ukuu wa wilaya. Does she have qualification for that even though political posts do not require professionalism per se?
 8. K

  Kangi Lugola asema: Atawatoa watu matumbo kwenye kampeni...

  Haya tena, the Ninja is back on trend. Atawatoa watu matumbo kama alivyotolewa Mwangosi. Aseme kuwa CDM atawatoa matumbo, ndicho anachomaanisha 1. Vongozi wa dini kemea kauli hizi 2. Mawaziri wakuu wastaafu kemea kauli hizi 3. Marais wastaafu kemea kauli hizi...
 9. K

  Naona JF TZ iko mapumziko kidogo sasa hivi

  Eti wanafanya maboresho. Isije kuwa JIWE kawakomalia watoe siri za watu! Kenya tunaomba mtulinde, hapa ni kuwa tunapashana habari nini kinatokea katika nchi zetu kama wazalendo
 10. K

  JF TZ nawasalimia, huku tu wazima

  Nawasalimia kwa jina la kutokuwa na Ban, kufuta nyuzi, kuweka heading mnazotaka.
 11. K

  Jamani leo Mkuu katoa kituko gani?

  Aliyemsikilizaatuwekee clip tupate leo kaongea nini na nani kakandiwa. hakuna aliyetumbuliwa?
 12. K

  Kangi Lugola anaweza kuwa dikiteita kuliko Idd Amin

  Kauli zake leo kumhusu Rais wa TLS Msomi Wakili Fatuma Karume (ingwa hakutaja jina, but by necessary implications and logical deductions) ni wazi huyu siyo mtu kabisa. Anaweza akaweka historia ya kuua.
 13. K

  TETESI: Waasi Rwanda wako km 30 kutoka Kigali

  Nasikia waasi Rwanda wako km 30 kutoka Kigali. Mwenye taarifa kamili atujuze. Nimesoma kwenye group ya UDF
 14. K

  Waliompa tuzo ya uchumi Magufuli wabanwa na maswali, washikwa kigugumizi

  Nimeona niilete huku tuijadili kwa kina. Sikiliza taasisi za kisenge (Mimi siyo author wa hii taarifa nimeichota tu kuijadili tukiwa huru zaidi) https://www.jamiiforums.com/threads/waliompa-tuzo-ya-uchumi-magufuli-wabanwa-na-maswali-washikwa-kigugumizi.1457922/#post-27632980
 15. K

  Muda mwingine afadhali sana hapa kuliko JF TZ

  Wanakera kuunga kila kitu hata vitu vyenye maudhui ofauti kabisa. Bure kabisa JF TZ
 16. K

  Hakimu akataa kujitoa: Natabiri Mbowe et al kufungwa

  Hakimu amegoma kujitoa, kwanini anang'ang'ania kusikiliza hiyo kesi? Hana nia njema, hakika tujiandae kwa kilio kikubwa. Huyu atawafunga bila faini. Mtaniambi.
 17. K

  TANZANIA LIBERATION MOVEMENT

  http://www.liberatetanzania.com/tlm_003.htm Tunakoelekea si kuzuri. Watawala Tujitafakari tuepushe yajayo
 18. K

  Nchi ya majuha

  Watu na akili zao wanafurika eti kushangilia ndege,wajinga na wapuuzi Ona mijitu mizima na akili zao. Hata mengi naye yumo, mbuzi mbuzi kabisa taifa hili.
 19. K

  Mategemeo: Mange Kimambi tupe ya IN CAMERA

  Mkutano wa leo wa Jiwe na Senior citizens ulikwa in camera. Tunategeme Mange Kimabi atatupa ya ndani maana hakosi watu wake.
 20. K

  Maudhi ya JF TZ

  Futa nyuzi, unganisha, piga ban , rekebisha heading etc, etc, etc... kila mahali na uzuri wake.. pros and cons.... Huku Kenya Talk JF kuna utamu wake wala siachi...

Top