Search results

 1. Sijuti

  Nimekuja kutembea ugenini.

  Mambo vipi, leo nimekuja kutalii huku baada ya kuzamia Jf kitambo. Mambo yanaenda?
 2. Sijuti

  Wasanii sasa wanaisoma namba... Basata kazeni

  Heshima kwenu wakuu. Miongoni mwa mambo yaliyonikera 2015 ni wasanii kutumika ktk kampeni za chama tawala tena walisema wanajitolea kwa moyo mweupe. Tangia hapo niliamini kuwa hawaijui CCM. Sasa ninafurahi maana wameanza kuifahamu CCM. Nawasihi basata wakaze sana 5M haitoshi.. waweke hata 10M...
 3. Sijuti

  Spika Ndugai: Kwa akili ya kawaida watu wananunua samaki kwa kilo na sio kwa futi, angalia jinsi alivyo waka

  ANGALIA VIDEO WAZIRI AKIOMBA RADHI KISHA SPIKA AKIWAPA VIDONGE VYAO PICHA YA CHINI: MS OFFICER (AFISA MPIMA SAMAKI) AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA USTADI WA HALI YA JUU
 4. Sijuti

  Kazi inayochekesha kuliko zote duniani (usiache kupitia uzi huu)

  Unaamka aaubuhi, unamuaga mke wako na watoto kuwa unaenda kazini, unabeba RULA ya sm 30 (ile ya sh 300) halafu unaanza kutembea mjini ukihisi kuna harufu ya samaki unaifuata mpaka jikoni kwa mpishi, unamwonesha kitambulisho unaanza kuwapima samaki na rula halafu ukikuta wengine wadogo unampiga...
 5. Sijuti

  Dagaa wa urefu gani wanaruhusiwa kuliwa?

  Jana tumeshuhudia maafisa wa uvuvi wakivamia jiko la mgahawa uliopo bungeni wakiwa na rula kupima urefu wa samaki na kumpiga faini mmiliki wa mgahawa huo. Leo nina ratiba ya kula dagaa, tayari nina rula yangu, naombeni kujua size ya dagaa inayohitajika ili niepuke faini zakizembe.
 6. Sijuti

  Wanachama CHAPUTA wagomea bajeti

  Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa wanachama wa Chaputa wamekosoa bajeti kwakuwa wanahofia itapelekea kupanda bei kwa vitendea kazi vyao yaani SABUNI na MAJI. Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake liwekwe hadharani alidai kwamba bei ya vitendea kazi ikipanda atalazimika kutumia...
 7. Sijuti

  Bajeti ya Upinzani Yafurushwa Bungeni

  Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa Bunge baada ya bajeti mbadala kuzuiwa kusomwa bungeni. Chanzo: Mahojiano ya ITV na Mh. Silinde.
 8. Sijuti

  Fuga nyuki Kisasa, Vuna pesa kilaini (Hakikisha unafuata maelekezo)

  uKwa kawaida makundi ya nyuki katika nchi ya Tanzania na baadhi ya nchi zinazolingana kwa tabia za nchi, makundi ya nyuki huanza kutafuta sehemu salama na yenye chakula kwa wingi kuanzia mwezi wa kumi katika mwaka mpaka mwezi wa nne kwa mwaka unaofuata.***ndi hiki huwa na makundi mengi...
 9. Sijuti

  Chakubanga ni nani?

  Nimeona sana hili neno likitawala majukwaa mbalimbali. Ninani huyu Chakubanga?
 10. Sijuti

  Sijuti wa KenyaTalk aandikwa na Mwananchi online

  Dar es Salaam. Siku chache baada ya mtandao wa Jamii Forums kusitisha huduma zake, umebainika unafanya kazi kwenye mtandao maarufu wa Kenya Talk wa nchini Kenya. Juni 11, Jamii Forums ilisitisha huduma zake kutokana na tangazo lililotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Juni 10, TCRA...
 11. Sijuti

  Tusiilaumu TBC 1 wala TV1 kwa kutuingiza mkenge.

  Duniani kuna tabia ambazo ningumu kubadilika hasa pale zinapokuwa sehemu ya maisha ya mtu. Nimeona kuna baadhi ya watu wanailaumu TBC1 na TV1 kwa kutoa habari na matangazo ya uongo/umbea kwamba watatangaza BURE mechi zote 64 ktk kombe la dunia, kwa mtu mwenye akili timamu na anayeifahamu TBC1...
 12. Sijuti

  Ufugaji wa Samaki

  Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza kufugika kwa urahisi au ugumu kidogo tu na aina hizo wapo wale ambao sio wa kuzaliana(monosexual) na wale wa kuzaliana(heterosexual) Urahisi hapa uko zaidi kwenye kuwafuga wasiozaliana sababu hawaongezeki wakati wale wanaozaliana utakuwa...
 13. Sijuti

  Nahitaji mwaliko wa Eid wakuu, pilipili, chumvi na kijiko juu yangu.

  Uzi unajieleza wakuu, nangoja mwaliko toka kwenu, mimi si kama waalikwa wengine wanaokuja mikono mitupu, mimi ukinialika nakuja na chumvi yangu, pilipili na kijiko hata uma naweza beba na sabuni ya kunawia hata maji ya kunawia naweza kuja nayo. @Demiss @Mzigua90 @4makind nialikeni kwenu tafadhali.
 14. Sijuti

  Manzi wa kenya njoo inbox

  Wabongo wa JF ni wagumu sana, nahitaji Mkenya chap. Wabongo jifunzeni ukarimu.
 15. Sijuti

  Dr. Leaky Abdallah, Mwl Kashasha Live TV1 wakichambua mchezo wa leo Kombe la Dunia

  Shika remote yako, weka TV 1 kula uhondo, TBC wao bado hawajajiunga maana leo Bajeti inapitishwa hivyo wako bungeni Live, leo weka TV 1.
 16. Sijuti

  Bajeti ya Tanzania 2018/2019 kusomwa leo jioni.

  Waziri wa Fedha na Mipango wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Philip Mpango anatarajia kusoma bajeti ya Tanzania 2018/19. Ni kuanzia sa 10 Jioni leo hii, TBC 1 itakuwa Live kwa watakaopata nafasi ya kufuatilia. Bajeti hiyo itatoa mwelekeo wa uchumi kwa mwaka 2018/19.
 17. Sijuti

  Young Africans Special Thread (Uzi maalumu kwa wana Yanga)

  Karibuni tujadili yote kuhusiana na club yetu pendwa, club yakimataifa, wababe wa ligi kuu soka Tanzania bara mara nyingi zaidi, Club kongwe zaidi nchini Tanzania, karibuni sana.
 18. Sijuti

  Kikosi cha Jamaica chawasili Russia salama, angalia picha

  Hiyo picha sio ajali, huo ni moshi wa kitu cha Jamaica kikipigwa na timu hiyo

Top