Ktalkers hii hekaya ni true story but hii ndio yangu ya kwanza so ikiwaboo muelewe tu ni NDEFU though..
Nikiwa 3nd Year colle huko umasaaini, nilikuwa na kunguru fulani pia iko colle huko Nakuru. So nilikuwa nikienda huko kumcheki ni lazima twende lodging juu huwezi piga exile wasichana watatu...