Ilisha semwa tangu mwanzo kua mdomo uliponza kichwa,au ulimi ni kiungo kidogo sana ila madhara yake ni makubwa.
Mtu yeyote asie chunga mdomo wake,hata heshimika na yeyote katika jamii take bila kujali cheo chake.
Jiwe alianza kwa tambo nyingi sanaaa,mara yeye hajiribiwi,mara awaite wenzie...