Baada ya muda usiopimika,
Baada ya kuzuru sehemu mbalimbali kwenye ulimwengu huno,
Baada ya kutaadhmini na kuyastaajabia mandhari tofauti,tofauti,
Baada ya kuzikabili kimasomaso shughuli zilizobidi,
Baada ya kuimarisha ngome yangu ya lugha ya kiswahili kwa kuongeza ufasaha, ufahamu na...