Sijui watu wengine hukuwa aje.
Last year kindu may ,Kuna mujamaa relative yangu alinipigia simu kunshow ako na kitu anataka tuongee,nkampea location place tutapatana tao.
Ninja alikuja sweating like a pig na macho iko red ka nyanya,akanpea story. Apparently,he'd f**k up kwenye anafanya job na...