Shida ya hiyo specialization hawaangalii merit na canvassing iko juu. Niligraduate nayo 2014 but hv been doing totally different things. Nakumbuka county nikiletewa a clueless guy tulienda naye interview nimfunze kazi after yeye kupenya (nilikuwa internship huko that period). I left.