• Sorry for the inconvenience caused by the downtime. We were doing maintenance which we have completed. Thank you!!

Search results

 1. Demiss

  Uzi wa kusimulia matukio ya kuwakimbia wanaume wanaotisha baada ya kumkuta ndivyo sivyo!

  Nimeamua nihamishie huku huu uzi kutoka jf. Haya tuende kwenye tukio lenyewe lililonikuta Demiss miye. Huyu ni mkaka wa IG huko ameweka picha zake za self tu ni handsome balaa sijapata kuona nakwambia alianza kwa kulike na kucomment picha zangu mwisho wake akahamia DM. Hili tukio lilitokea mwaka...
 2. Demiss

  Mwanaume malaya wewe lazima upate mikosi!

  Mwanaume malaya unachukua kimada changudoa,mlango wa kando,mchepuko,shugamamy unaenda kufanya naye mapenzi kwenye kitanda unacholala na mke wako. Kitanda kilichompa mimba mke wako huoni kama hiyo ni laana. Huyu ndo mwanaume malaya kuliko wotee alafu mnatumia mashuka mnayolalia na mkeo wewe na...
 3. Demiss

  Wanaume na milio yao wanapofika kileleni!

  Jamani haya maisha ya ugenini ni balaa. Oky unajua mimi Demiss nimepitia vituko vingi sana na huwa ninapenda sana kufatilia baadhi ya mambo. katika mahusiano nimeshadate na wanaume tofauti tofauti hivyo kuna vitu nimekutana navyo kwangu naviona vya ajabu sana kiukweli kutoka kwa wanaume hao kama...
 4. Demiss

  Kama kuna member yupo Dom anipm tuende club royal village

  Jaman nahitaji kampany kwa ajili ya kwenda club leo usiku kiwanja cha royal Dom yeyote anayehitaji kampany PM tukatoe stress za kufungiwa Jamiforum.

Top