jamiitalk

 1. Kasomi

  JamiiTalk kutoa cheo cha Platnum Member kwa mabalozi wake

  Mtandao wa JamiiTalk ambao inapatikana kwa sasa Dunia nzima kupitia tovuti yake ya www.jamiitalk.com Umeanza kutunuku mabalozi wake bora cheo cha Platnum Member ambacho kitaonekana chini ya Jina la Member. Awali cheo hicho kilikuwa kikitolewa kwa Members wanao i finance JamiiTalk. Hivyo kwa...
 2. Kasomi

  JamiiTalk kuanzisha Mashindano ya Mwandishi bora

  Mtandao wa JamiiTalk wenye Makao makuu yake Tanzania unatarajia kuanzisha mashindo ya Mwandishi bora. Ambapo kutakuwa na mwandishi bora wa maudhui ya kiswahili na Mwandishi bora wa maudhui ya Kingereza. Hivyo hivyo kutakuwa na mwandishi bora kwenye majukwaa tofautitofauti. Mashindano hayo bado...
 3. Kasomi

  Asanteni na Hongereni kwa Wakenya mlio jiunga na JamiiTalk

  Napenda kuwapa pongezi za dhati kwa Wakenya wote walio jiunga na JamiiTalk hakika huu ni umoja wa aina yake. Pia na wengine karibuni na muanzishe mijadala. Tembelea www.jamiitalk.com
 4. Kasomi

  Good news JamiiTalk imerudi hewani

  Habarini, mtandao wa JamiiTalk umerudi hewani kwa sasa unaweza kujisajili bila tatizo lolote ili kuperuzi jamiiTalk. Jisajili sasa kupitia tovuti ya www.jamiitalk.com kisha endelea na mijadala.
 5. Kasomi

  Annoucent from JamiiTalk: Your full account details are not currently editable.

  Habari wana jukwaa kwa wale wanaopata Tatizo punde wanapo jisajili na kupata ujumbe wa Your full account details are not currently editable. Katika mtandao wa JamiiTalk, Tatizo hilo linafanyiwa kazi na pia baada ya kujisajili logout baada ya muda rudi na u login ili kuperuzi Mtandao wetu wakati...
 6. Kasomi

  Historia ya Mtandao wa JamiiTalk

  JamiiTalk ni tovuti ya mtandao wa kijamii yenye makao yake makuu nchini Tanzania katika Afrika Mashariki iliyoanzishwa mwaka wa 2022. Mtandao huo wa mtandaoni unajulikana kwa kuwa sasa tovuti maarufu zaidi ya mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kulingana na Watumiaji. Tovuti inasisitiza...
 7. Kasomi

  JamiiTalk (Jamii Talk)

  JamiiTalk is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2022. The online network is notable as now the most popular social media website in Tanzania, according to Users. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional...
 8. Kasomi

  Karibuni JamiiTalk tujadili technology

  Hi members nawakaribisha JamiiTalk tujadili mambo ya Tech. Jisajili kupitia www.jamiitalk.com hakika utapata ujuze wa kutosha
 9. Kasomi

  JamiiTalk kwa wakenya sasa inapatikana

  Habari tunawaalika wakenya kujiunga na Jamiitalk ili kujadili habari mbalimbali za kenya na mambo ya siasa za kenya. Tunawakaribisha ili mchangie mada zenu Jiunge sasa kupitia www.jamiitalk.com Jisajili ili uwe member
 10. Kasomi

  Find Friendship, relationship and lover ina JamiiTalk

  Mtandao wa JamiiTalk unakupa nafasi ya kutafuta mwenza, urafiki na mahusiano. Jisajili sasa kupitia www.jamiitalk.com
 11. Kasomi

  Je, unapata tatizo kujisajili JamiiTalk?

  Habari je, ukijisajili jamiitalk unapata tatizo? Basi hilo tatizo nilamuda mfupi Uongozi wa JT tunafanyia kazi hilo hivyo ukijisajili halafu ukashindwa kupata access subiri baada ya muda kisha login utakuwa na uwezo wa kuingia. Register or login through www.jamiitalk.com
 12. Kasomi

  JamiiTalk inawakaribisha Wakenya

  Mtandao wa JamiiTalk inawakaribisha Wakenya tuje tubonge pamoja Karibuni kupitia www.jamiitalk.com
 13. Kasomi

  JamiiTalk is now available in Tanzania you can join now

  Mtandao wa jamiitalk kwa sasa unapatikana hivyo nawakaribisha kujiunga na mtandao wetu ili tujadili mambo mbalimbali. Mijadala ya kiswahili, kingereza na kiafrikana kwa sasa inaruhusiwa. Visit now www.jamiitalk.com
 14. Kasomi

  Hello welcome to our new forum called JamiiTalk

  hello my brothers Kenya Talk. I am a Tanzanian but I am on stage here for a while and I have also decided to set up a forum so you can register through our website www.jamiitalk.com As I am here, so I wish you were there on the community forum known as JamiiTalk. JamiiTalk The Home of Learning...
 15. Kasomi

  Jukwaa Jipya la JamiiTalk laanzishwa Tanzania

  Wakuu Watanzania tumeanzisha jukwaa jingine kwa jina la JamiiTalk. Hivyo tunawakaribisha kujiunga na Jukwaa letu jipya Visit our website www.jamiitalk.com

Top