maisha

  1. BenKaile

    Busara XXX

    Ugopa sana mtu mwenye njaa, muogope zaidi mtu mwenye njaa ya mfukoni na njaa ya akili. NDIO, kuna watu wana njaa ya akili. Hawaaminiki hawa watu hata siku moja akishiba ni tatizo na akiwa na njaa ni tatizo huyu kinachosumbua ni kichwani. Mtambue tu halafu kaa naye mbali.
  2. BenKaile

    Busara Za..

    Kwenye maisha ya sasa, usiruhusu mafanikio yako yakajadiliwa kwenye mitandao, ni rahisi kukuchimba wakajua mapungufu yako na ndiyo ikawa mwanzo wa anguko lako. Kwenye mafanikio yoyote kuna mapungufu na makosa yake. Yakiibuliwa umekwisha, jitahidi sana wasifike huko.

Top