01/08/2018 ya Mangelema Kimambi

Wadau nimeona kwenye page ya huyu Dada akisema hiyo tarehe, kwani kuna nini? nionavyo mimi kutokana na historia yake ya nyuma Watu WATAPATA TABU SANAAAA…, HIVYO MWENYE KUJUA KUNANI…???

watapataa tabuu sanaaa

Nahisi ni ile siku ya maandamano ya kuelekea Bank ya Dunia kuwashinikiza ichukue hatu dhidi ya utawala Wa jiwe.

(Kama siko sahihi nitasahihishwa)

Si akae ale jamani Taabu yote ya nini…??? ‘‘KAA ULE’’ hutaki…!!! kazi maneno tu pyeeee pyeeee…unataka nini…??? Haya unaletewa chakula Mpaka mdomoni unafumba Mdomo na kusema hutaki…!!! Kulikoni…??? mpaka majirani wanashauri ya kuwa inawezekana wewe ni Mgonjwa hivyo wakukamate ili wapanue Mdomo wakuwekee CHAKULA…Aaaaaaah wapi ndiyo kwanza unag’ata watu meno…!!! sasa watu wafanyajeeeeeeeee…???

''KAAAA ULEEEEEE…

Yajayo yanafurahisha…

Anaandaa maaandamano mengine mtandaoni??

Mume wa kidote

Ha ha ha ha i like it mme wa nani vile KIDOTI org

yaani munakaa chini munamfuatilia kimambi muda wote?

Eti mkatoliki safi huyoo.

Yaa tunakaa tunamfuatilia muda wote halafu tunaleta hapa tulichokifuatilia kikifuatiliwa na wewe mfuatiliaji wa wafuatiliaji wa Mange.
Tuachage unafki wabongo.

Sijawai kumfuatilia mtu yule zaidi ya maneno kama hayo mitandaoni, na nikiskia naona munapoteza muda bure kumfuatilia yule mdada.

kuwepo kwenye hii post ni kama unamfatilia pia. Ulitakiwa usiifungue baada ya kuona jina lake.

Tuwe na subira tu tarehe moja ni kesho kutwa

Daaaah rudi uliko toka

Kidoti huyu huyu? Au mnamsingizia Jiwe

Usione wemba mba wa reli

Aisee, mi nlikuwa nataka kumuoa yule

Kama una habari zake tayari Mkuu inaoneka ulimfuatilia then ukakosa ulichokitaka kusikia kwake ukaacha so andika kuwa
“Umeacha kumfuatilia mtu yule”. Shubaamiti

Mange hana hoja.