1,2 *ock my Shoe .. Rare Underground Hip Hop

#3
Pia angalia tape series za Stretch Armstrong and Babbito kwenye vipindi vyao kwenye college radio ya WKCR ya Columbia University walivyokua wanafanya kutoka 1990-1999!

Mzee,classic!

Madini matupu!

Zipo Youtube au nenda Mixcloud.....kwa Mixcloud ni bora zaidi maana zimepangwa vizuri na zina-play hata kama umefunga simu tofauti na Youtube,ukifunga simu screen na yenyewe inazima hapo hapo!

Grimmy New York hip hop tracks!
 

Top