Hapo wamemaliza these betting companies kabisa, wueh. Gamblers wont bet with such parameters.
@gashwin wacha kusmile hapo. Watu hawata acha kugamble, the will just seek other ways. Hapa niko sure kuna illegal sites zitaundwa ama gateways za kuaccess international sites kama betway,betin,1xbet. That money is too much kupea serikali.