14 pwani university students dead in road accident in naivasha.

Ngori saidi

RIP. May they access the Glory.

wanasema ni more than 20

[MEDIA=twitter]1641401304294600712[/MEDIA]

Sad

dashcams should be mandatory

Driver possibly fatigued and was not concentrating on the road as needed, OR vehicle lost brakes.

Scary.

…painful. Na walikuwa wanaenda eld kugusa ma game. I remember tukienda inter-university matches, ile excitement alafu unapoteza close friends. Hii ni machos tupu.

Unaweza pata driver aliambia management multiple times juu ya mechanical issues na bus but pesa ikakuliwa. Hizi bus za companies na organizations hukuwa very badly maintained. For now haijulikani cause but ikijulikana wapate ni mechanical issues najua with certainty driver alisema akapewa threats.

Wanasema most victims were in the nissan matatu. Bus lost brakes and hit the matatu huko nyuma.

[MEDIA=twitter]1641396702383931392[/MEDIA]

Noooo

How does engine brakes work

Kwani magari za siku hizi engine braking haifanyi kazi? Ukicheza na gears haiwezi simama ama ni automatic?

Cc: @Meria Mata

May their souls rest in peace.

Nilidhani ni head on collision…yenyewe ajali haina Kinga… imagine umetokea na jalopy yako then unafinywa kutoka nyuma na bus ama truck na unadedi…shindwee kabisaaa

Nimesoma Twitter students walikuwa kwa hio basi nyingine wanadai hio basi iliwa overtake design ingine mbaya sana and they felt something was not right. Labda ni careless driving…

Hii dunia huwa tunakuja na design moja but tunajiondoa na design tofauti. Kuna landlord fulani alikuwa ametulia kejani anakunywa chai, ceilne ikaanguka ikamwangukia akasonga ivo. Noma sana.

Alafu, naona kwa hio video the bus driver alikuwa amewasha mataa. Huyo driver alikuwa na gari iko na camera angefaa kuondokea but ile ufala ya watu ya personal ya “this is my lane, wewe ndio uko kwa wrong sid” ikamfanya hakusonga. Utaona kwa hio video kuna mat imeondokoea.