1990s MFs

Sisi 1990s kids [ATTACH=full]79174[/ATTACH] hatukugrow up tukiwatch umama ya Marvel

5 Likes

Wah memories brathe, memories.
Plus unakumbuka Bolo Young.

2 Likes

Nilikua napenda gargoyles

1 Like

Bolo Young, alikua anapigana na Van Damme

I honestly must confess that i wasnt understanding any ingrisch in those movies. What i could hear in the cinema shows and movie rooms is FWONG FWONG FWONG. . . Then i wait for Vandamme or even Billy Blanks to kick them arses! Asante heavens sasa naelewa gisungu

15 Likes

Hakukuwa na dj Afro?

Steven Seagal alikuwa anapiga kila mtu hata bolo yeung angeletwa angepigwa kama panya na hizo matiti zake .

1 Like

:D:D:D

3 Likes

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/f/f9/Total_recall.jpg

Na 19th ya kila mwezi tulikuwa tunategea hii ndae huko Banana; tunaanziwa na matangazo ya Bwana Reddy Kilowatt…
http://www.akadeducationafrica.com/resources/Logo%20head%203%20-%20compressed.jpg

7 Likes

Zii men nilikuja skia DJ @Afro juzi niikiwa campus …

DJ Afro ni wa juzi, 2010 to be precise venye alianza kuproduce movies za cassette tape, ile yenye ikionyesha mchele mwenye vida anaulizia mwenye ako na noti ya finje mpya ndo apanguze nayo tape

1 Like

The first time I heard those dj movies was '92 in video halls. I wasn’t into that crap ever due to their annoying microphone that is not balanced. Had a shagmodos rela here insisting on watching one on some kyuk station, wah the sound quality of the mic and movie have gotten worse. I almost died.

2 Likes

Watoto kaa chini aka Factual Films na ile ingine ya green track walikuwa na DJ wao pia. That was before 90`s since I was bearly class 3 when I watched for the first time.

homowebdev in 1992 had you begun being fuckked by men ?

Baaassss hizo canter za cinema were my long awaited imax. I never missed date 19.
Tho nakumbuka nipigwa na mayai viza kwa kisogo.

1 Like

Factual Films was around mpaka 2013

Exactly, watu walitoka cinema ilikua ni vita, my fav movie then was The Black Sheep Affair

You mean “imax halls”? Mimi natambua zile rooms za mabati zilikua kwa village center kando ya kinyozi…

Cinema movies they would play few NTOMBI or AWILO tracks or even soul, then moovie inaanza.

We used to have twice a month, dates were different. Mtu wa area code anaeza jua. :D:D

The truck shown up there used to roam around Nairobi and the environs at dusk and erect a giant cinema screen in the open air and show free films. That’s why the smart ass up there called it IMAX.