1k in 20 mins

Betyetu ni site poa sana ya live betting. @123tokambio

[ATTACH=full]172371[/ATTACH]

Manze hii livebet ilinishinda, i have a poor record when it comes to rapid analysis…
Hapo nae umekula msuri…

Hapo sawa kaka. This is responsible betting not those 20 team slips

Boss leta odds kuna watu wengine hawananga bahati

Hakuna ball bana. World cup imefika

Ata tips za world cup siwezi kataa

World cup usishangae Iran ikichapa Brazil. Hiyo bet for fun

That will never happen man!!

World cup si league. Expect surprises.

Hapa I disagree, world cup and Champions league group stages huwa na free cash when it comes to betting

Kuna ball Norway, Svenska, South Korea, Philippines, Thailand, Japan, China, Slovakia, Finland

sisi ni mavampire, we operate at night:D:D:D:D

Gamblers hawapendi kutaja losses, I’m sure umepoteza pesa mob lakini huwezi taja

True I like Fridays through Sunday unaamka 3am, unachangamkia Australia na new Zealand, unaingia Japan alafu unamaliza na South Korea. By mid day you have your returns. Ziki kataa una kimbisha bet na akina Home united, Ceres, muan thong, police tero , Thai navy, etc :D:D:D:D

kuna group inaitwa home of champions. Ulizia around. Ofcourse we lose at times

Weka link hapa mzae

Ukipost link ya iyo group itakuwa better…

Iyo link ndo gni?