2016 Slam Dunk Contest

Aizoh

Senior Villager
#2
u do it on video games NBA 2K17 or u actually play basketball? baake nilicheza ice cool na ikifika provincials hatukua tunaendelea bana. uko unakutana na akina lebrone james majitu mjamaa ana dunk kwa uso yako unajiokota umedunda chini...
 
M2Random

Village Sponsor
#3
I
u do it on video games NBA 2K17 or u actually play basketball? baake nilicheza ice cool na ikifika provincials hatukua tunaendelea bana. uko unakutana na akina lebrone james majitu mjamaa ana dunk kwa uso yako unajiokota umedunda chini...
I play Mr, but mimi sio pro. Usijali. Pia sisi baake tulikuwa tunafika nationals tunapatana na Laiser Hill ama St.Austins...wakiwa na Wasudanese wao. Tunapigwa century tunarudi kama tumekauka. Lakini nowadays manugu za former high school hata provincials hazipiti. Bunch of sissies. Squad yetu ilikuwa na point guard mnoma sana na 3 pointers. Huyo msee aliokolea sana. Small forward na power forward ndio walikuwa mandovu.
 
Last edited:

Bakayaro!

Village Elder
#5

Didn't our Sudanese brothers mostly play for Aquinas? Na Austins were fronting babas from coast...Maybe I'm showing my age:D

Should be picking the game again in this next week....took a 6yr sabbatical.

Ball is life...
 
Big G

Village Elder
#9
I

I play Mr, but mimi sio pro. Usijali. Pia sisi baake tulikuwa tunafika nationals tunapatana na Laiser Hill ama St.Austins...wakiwa na Wasudanese wao. Tunapigwa century tunarudi kama tumekauka. Lakini nowadays manugu za former high school hata provincials hazipiti. Bunch of sissies. Squad yetu ilikuwa na point guard mnoma sana na 3 pointers. Huyo msee aliokolea sana. Small forward na power forward ndio walikuwa mandovu.
kijana ww ni mtu ya nakuru gaunty?
 
Top