2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA!-France Became Champions

nikiwa nimeomba ukimbizi wa muda kaunti ya Nyeri nawaunganisha moja kwa moja na sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia tulilolisubria kwa miaka minne

sherehe za ufunguzi zitaanza majira ya saa kumi na mbili jioni

huku wageni mbali mbali wakitarajiwa kuhudhuria

kipute chenyewe kitaanza rasmi majira ya saa mbili usiku kati wwaarabu matajiri wa mafuta saudia arabia ambao wataingia uwanjani wakiwa tayari wamepiga futari lao huku wenyeji wao russia matajiri wa gesi wakitarajiwa kuanza vizuri

kombe la dunia huileta dunia pamoja hapa tunasahau dini,rangi,wala ubaguzi

karibuni wadau

hii game saudi arabia watafia uwanjani japo na russia atataka aonyeshe ubabe ingawa hana wachezaji wenye exposure zaidi ya yule mido alix

nafikri watafungana moja moja

Mechi itaanza saa 12 jioni. Saudi arabia watakuwa na swaumu kali sana. Ikumbumwe ya kuwa saa za moscow zinafanana na za hapa dar es salaam, ila moscow magharibi (iftar) ni saa 2 nanusu usiku.

mkuu new villager game inaanza saa mbili

Russia2
Saudarabia 0

au watatoka droo

Mpenzi mtazamaji

Muda mbna haueleweki hadi sasa:mad: naangalia livescore naambiwa mechi ni saa 1800

nafkiri hiyo 1800 wataanza live coverage za ufunguzi ila kupute ni saa mbili usiku…otherwise kama kuna changes

karibu tutazame shun

lets counts the hours and see

the wait is over

but inaboa kulog jf kwa kutumia google hata tunashindwa kupandisha mapicha matamu kutoka moscow na st peterburg

mkuu melo washauri hao waliamua kutuhifadhi watengeneze APP hatuwez kutembea na PC kila mahali na kulog kwa simu inazngua sana

mkuu mbona ni rahisi tu?

hapo ndipo brazil national team itakua inafanyia mazoezi huko urusi[ATTACH=full]175962[/ATTACH]

pandisha mapicha mkuu mi bado iko sumbua

inasumbuaje mkuu ila dah tungekua kule jf nadhani tungepata real update tumekosa mengiii

natumia pc na pc yangu haina picha na nikutumia simu inaenda slow kwa mwendo wa 2G Sunajua mambo ya google tena ,kuu

Tutaangalia wote victor

itakuwa poa sana ili ufunguzi unoge inabidi tumshushe mabega bwana Bingwa au sio shun

[ATTACH=full]175998[/ATTACH]

The 2018 FIFA World Cup is the 21st FIFA World Cup, a quadrennial international football tournament contested by the men’s national teams of the member associations of FIFA. It is scheduled to take place in Russia from 14 June to 15 July 2018, after the country was awarded the hosting rights on 2 December 2010.
This is the first World Cup held in Europe since the 2006 tournament in Germany, the first ever to be held in Eastern Europe and the eleventh time that it has been held in Europe. All of the stadium venues are in European Russia to keep travel time manageable. It is expected to be the most expensive football championship in history, budgeted at US$11.8-14 billion surpassing the cost of the 2014 FIFA World Cup in Brazil.
The final tournament will involve 32 national teams, which include 31 teams determined through qualifying competitions and the automatically qualified host team. Of the 32 teams, 20 will be making back-to-back appearances following the last tournament in 2014, including defending champions Germany, while Iceland and Panama will both be making their first appearances at a FIFA World Cup. A total of 64 matches will be played in 12 venues located in 11 cities. The final will take place on 15 July at the Luzhniki Stadium in Moscow.
The winners of the World Cup will qualify for the 2021 FIFA Confederations Cup. Pre-tournament favorites to win the final were Brazil, France, Germany and Spain

[ATTACH=full]176000[/ATTACH]

[ATTACH=full]176002[/ATTACH]

[ATTACH=full]176021[/ATTACH]

[SIZE=6][FONT=tahoma]GROUP A
[ATTACH=full]176022[/ATTACH]
[COLOR=rgb(209, 72, 65)]RUSSIA[/FONT][/SIZE]

[ATTACH=full]176038[/ATTACH]
[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(0, 168, 133)]SAUDI ARABIA[/FONT][/SIZE]

[ATTACH=full]176024[/ATTACH]
[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(41, 105, 176)]URUGUAY[/FONT][/SIZE]

[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(41, 105, 176)][ATTACH=full]176026[/ATTACH]
[COLOR=rgb(184, 49, 47)]EGYPT[/FONT][/SIZE]

[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma]GROUP B[/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][ATTACH=full]176039[/ATTACH][/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)]PORTUGAL[/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]

[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][ATTACH=full]176040[/ATTACH][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)]SPAIN[/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]

[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][ATTACH=full]176041[/ATTACH][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)]MOROCCO[/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]

[SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][ATTACH=full]176042[/ATTACH][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=6][FONT=tahoma][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=6][FONT=tahoma][COLOR=rgb(184, 49, 47)]IRAN[/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT][/SIZE]

Uwanja utakaotumika kwa ufunguzi muda mchache ujao ni Luzhnick Stadium

[ATTACH=full]176030[/ATTACH]