254 Diaspora Djs Live on the Mix group pare mukuru ni upus

Naona madj wa kenya wameamua kumix pale mukuru. In eyes in umeffi juu unaona dj bila kuona video za ngoma. dj ana mix for 2hrs akiwa na mc anabonga every 30 secs nika unataka kusikiza mc labda ngoma. afadhali nisome threads za makena labda nisikize hizo chieth

Unafanya nini apo Mukuru na MGTOW wanatoroka na bibi za watu huku nje? Hawajali curfew ya Gatheca …

Mike rua alikua live Saturday…
Think the old goon haelewi mambo ya bundles, live feed broke off after 1 hour… Akiwa in full tempo

give the anlogue shujaa his dues if he sustained the live feed for 1hour

Kuna watu kweli wameumia na hii korona.