3years later

#17
I was in the same situation dame alinisaliti na faux ami (contact with both parties ceased after this incident) kisha akatiwa ball lakini mimi sikujua, like 2 years later hivi she was striving to get in contact but no matter the scenario i was not going to give her the time of the day, ndio a female friend akanishow dame alikuwa na copy ya huyo jamaa. Huyo dame nikimfikiria saa zingine huwa nacheka. Lakini hiyo ni hali ya maisha.
 
Last edited:

Barueri

Village Elder
#19
I was in the same situation dame alinisaliti na faux ami (contact with both parties ceased after this incident) kisha akatiwa ball lakini mimi sikujua.... Huyo dame nikimfikiria saa zingine huwa nacheka. Lakini hiyo ni hali ya maisha.
Huyo dem ako namna gani siku hizi? Najua maisha imemnyambania kama huyo nigga alitoroka responsibilities so anajaribu kukurudisha back in the loop.
Ni kama kunguru ingine niliona Facebook ikiambia ex wake that she wants to give him 1 million shillings as a way of saying sorry ndio warudiane. Of course the ninja hakuwa anataka hata hizo pesa, kunguru abaki kwenye alienda:D:D:D
 

Top