42/43 Inch TV

Where can I get the best deal locally ?

skymall

@syndicate unaitwa

Any duka ya Somali hapo

Yea wale wanauza wholesale. Nywele ngumu wachana nao

Thanks. Will head there Monday.

ongea na huyu jamaa ako Luthuli
0724 059350
http://www.bnt.co.ke
Very legit. Very few will beat his prices.

Ukienda luthuli kuwa ready kutoa another 10k ati ya CAK…nimeona wanaume wazima wakilia kama watoto…unanua TV at the agreed price then uanaambiwa lakini huezi toa hapo bila 10k sujui ya cak

Mimi huenda luthuli. Demand to see the telly. Nishawahi pata hao watu unalipa alafu wanatoa ile ndogo. Niliiwaambia wanionyeshe tv wakatoa kadoonye.Kama ni 40 inch uone itestiwe alafu utoe pesa. Kama unatoa 20k ununue 50 inch uko na shida utakula ulafi yako. Lakini ukijua vile kuinvolve police bila kutoka hapo pesa itarudi.

Go to sky Mall. 2ND floor. Benadir Electronics, ask for Osman. You’ll never get a better deal than that.

Hii upuzi imezidi sasa!! We know upgrading to a new TV is exciting, but we dont need new threads daily. there more than 30 threads about buying a new tv,kindly go through them.

Nkt, peasants everywhere!!!

He does not always give good deals. It does not hurt to first shop around then head there.

New shops and better dealers come up daily. You can also get something new in that thread you are in dissent with.