Leo nimefika hapa kwa vaite kutesa concience yangu kidogo.
Nilikuwa na jamaa yangu flani tukiwa tunachoma. Roll mbili tu… man kumbe hizi vitu zinakuwa na degree Impact kama vile sukari ikona Guru, Poison na glucose… Sikuwa najua hata…
Nilijikuta naenda kwa nyumba ya beshte yangu … Nikabisha tu fiti… niaje Umecheki josh? … Budake akadai eti mimi ndio nilikuwa naye… wakanichapia wanaenda hosi kucheki mtoi wao alizaliwa jana…
mimi nakamuuliza tena … Mwili inaletwa lini? …
Nilitolewa hapo na kofi… sasa niko naburuka tu downhill… nikawasha bundles na kuingia KT nione kitu yeyote tu… Kuandika title ya 422 Nikaskia ninaitwa…
Sikutaka kujua ni nani , Nikatoka mbio tena… mimi huyu hapa kwa mama mboga…
mathe nikatie sukuma imenona alafu niingie ndani yake…" … Nimeacha mathe akitafuta panga…
niko mbio tena hadi hapa mpesa, nilikuwa nataka kutoa fare nipande mat juu nikama hizi mbio zangu hazinifikishi kule nataka kuenda.
Hata saizo niko nimesahau pin… sa nikona stress… nikaamua ku call beshte yangu aje aniokolee na simu yake nitoe pesa… Hata number yake sikupata.
mimi na rada zangu nikaona bitches flani , . alikuwa amefura kifua… nikadhani ni bagi amebeba, nikashika mautiatez na kuzivuta… Dem akapiga nduru… Mimi huyo mbio tena… nikaenda nimeisha nikajiseti kwa shiners bar … Nilikuta beshte yangu huko akicheka juu ako hai sijui alifikaje… nikama aliburuka pia yeye.
mimi nikamshow achoree hio story na tukavurutana mos mos tukisaka place ya kudoz… tuko sahi tunatembea kando ya lami bila fom sijui tutafika lini.