43" smart tv

smokin_gun

Village Elder
#10
Tafuta TCL. It's the highest-rated budget tv and Amazon's best selling t.v. Pale Luthuli avenue utapata na bei mzuri kwa woria.

Avoid Jumia like plague. You should check the estimated price range on different Kenyan websites before you go to buy it physically.
 
m245

Village Elder
#11
ukienda luthuli usinunue kwa nywele ngumu, strictly buy from walalo kama unapenda pesa yako, kuna mmoja anaitwa kashkash rafiki yangu sana
 
madova

Village Elder
#18
Tafuta TCL. It's the highest-rated budget tv and Amazon's best selling t.v. Pale Luthuli avenue utapata na bei mzuri kwa woria.

Avoid Jumia like plague. You should check the estimated price range on different Kenyan websites before you go to buy it physically.
Nadai moja hapa champala sijaona .
43" ama 49".
 
Top