Bei iko sawa. @spear Jubilee maendeleo naona faimba inatamba huku.
Lakini nina jambo upitishie Kimwana.
Meru ‘tunasukuru kwasabaabuu Munya ako kwa serikali yako na pia Mpuru Abuurii ni wasiri wa Hist Hafrika, na Kiraytuu amekuwa ngavana.Rinturi naye so ni Senetaa? Mutu mulisahau si ni Kajuujuuu? Mutafutieni mahali aki, hata kama ni kwa kabinit! Au ilijaaa?’.