6+ goals za PSG Nani angefunga?

Ni Juzi tu Hutu tu players tulienda bash ya ule kaguru mwenye anapenda ku roll kwa pitch, I suspect jamaa zilipiga MA shisha na mizinga Bado mwili azjarudi form. Anyway wamechoma bet mingi sana. [ATTACH=full]223809[/ATTACH]
Kwa group kuna jamaa aliweka hivi

Ile over 6 goals najua ni ile mzee omusula alikufikisha kwa busaa den kawangware

90 minutes wanamaliza 0-0
20 minutes later wanapiga 0-3 mbona naona ni kama wali bet correct score ya 0-0 na Hako ka Team na kila player akaweka Mita mita[ATTACH=full]223816[/ATTACH]

Extra time huwa 30mins sio 20mins…

[ATTACH=full]223822[/ATTACH]
20 minutes later after the start of EXTRA TIME

You are wrong again…

@Dasani @123tokambio Kujeni mnisaidie hapa. Mtu anasema am wrong about PSG scoring after 20 minutes of the extra added time

Wachana na non-gamblers :D, [SIZE=1]but he’s correct you know, apana aibisha sisi gamblers mchamaa. Game kama inafika 120, from 111 to 120 is outside the 20mins [/SIZE]