6x6 vehicles

today during round mwenda kwa you tube i did find my self just admiring the new Benz g-wagon 6x6 … where by it doesn’t come cheap at the same tyme it does hve its own disadvantages over a normal car… (4x4)… at that moment i did remember back in 2009 dec a tyme lyke this i dd encounter with a Toyota land cruiser 6x6 at namanga ambapo it gave an idea to do some googling abt this cars… nikaparta Nissan patrol,ford raptor,land rover discovery,Toyota hillux na now g wagon wametowar a 6x6… car. my question is whats the pros & cons ya 6x6 over 4x4 especially here in kenya… wacha nikae pale ---->nisikize maoni yenyu wana kijiji

Nisongee kwa hiyo kiti ya watu wa footsubishi. Nitauliza vijana hii swali tukiwa base alafu nirudi na jibu

Utuletee hizo stories.tutajua vile muguka huangamuiza brain

anything hufanya nikue kwa p station kila saa hapana tambua

I see many 4x4s that never do any serious off road activities. Kazi ni lami tu 365 days. And i mean off road serious that they are meant for. Sio hii rough road pia vitz inapita.
So what are they even for if haifanyi its real work? Now that said sembuse 6 by 6? Hata military Wako na 4x4 mob sio 6x6. In conclusion most 4x4s are for show not utility. 6x6 is just being extra obscenely showy … Would i buy one? Fuck yea if i had the cash to blow i would buy a 6 x 6. Lakini peasant tubaki tu kwa lane ya dream ya kubuy 4x4

iii kiti ni kubwa na haina obstacles as usual

That G wagon was modified here in kenya

6x6 ni urembo tu . Can’t do more or be as effective as a proper 4x4 .If it did , then 16 wheeler would be the greatest off-roaders .

Milipede inakuwanga na 200x200 haijawahi kwama. Sijui mingu alikuwa nafikiria nini

Kama devolution haijafikisha daraja kwenyu na mchanga
ni ile black cotton, 6x6 will be handy. Kwasababu ordinary 4x4
will sweat to get you home.

Most Kenyan 4x4s have not even gone through 4x4 milestones
where the animal meets the mud/sand/rocks. Wengine wameziweka
hadi winches na hazijawahi kutumika.

Nimeona 6x6 ya L/C was actually built on a 79 chassis. In our
situation in Kenya 4x4 inatosha tu yani.

Hata mimi sies mind a 4x4 as i graduate from peasant hood.

And they did a terrible job of it too.

Enyewe milipede ndio the greatest off roader, never seen one stuck, hehe… Lakini umefikiria kama true villager